Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Dodoma 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Dodoma 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuandalia ukurasa huu maalumu ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari zilizopo ndani ya mkoa wa Dodoma kwa urahisi na haraka.
Mkoa wa Dodoma, ukiwa ni makao makuu ya nchi, una idadi kubwa ya wanafunzi na shule zinazofanya vizuri kitaifa. Mwaka huu, matokeo ya CSEE 2025 yanatarajiwa kuonyesha ushindani mkubwa kati ya shule za serikali na zile za binafsi.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Dodoma (Direct Link)
Ili kurahisisha kazi, hatujaweka link za wilaya moja moja. Tumekuletea link moja ya moja kwa moja ambayo itakupeleka kwenye orodha ya shule zote za mkoa wa Dodoma (kutoka Dodoma Mjini, Bahi, Chamwino, Chemba, Kondoa, Kongwa mpaka Mpwapwa).
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo ya shule yako:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA DODOMA 2025/2026
Jinsi ya Kupata Matokeo kwa SMS (Dodoma)
Ikiwa mtandao wa internet unasumbua kutokana na wingi wa watu, unaweza kutumia njia ya ujumbe mfupi (SMS) kupitia simu yako ya mkononi:
-
Piga *152*00#
-
Chagua namba 8 (Elimu)
-
Chagua namba 2 (NECTA)
-
Chagua namba 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)
Uchambuzi wa Matokeo Dodoma 2025/2026
Baada ya matokeo kutoka, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora (Top 10) za mkoa wa Dodoma na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi kitaifa kutokea mkoani hapa.
Kaa karibu na ukurasa huu kwa ku-refresh mara kwa mara ili kupata updates za hivi punde.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Dodoma!
