Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Geita 2025/2026

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Geita Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Geita

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Geita 2025/2026

Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Geita 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuandalia mwongozo huu rahisi ili uweze kupata matokeo ya shule zote za sekondari mkoani Geita kwa haraka zaidi pindi yanapotangazwa na NECTA.

Mkoa wa Geita umekuwa ukifanya vizuri sana katika matokeo ya kitaifa miaka ya hivi karibuni. Mwaka huu 2025, maelfu ya wanafunzi kutoka Geita Mjini, Chato, Bukombe, Mbogwe, na Nyang’hwale wanasubiri kuona ufaulu wao wa CSEE.

Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Geita (Direct Link)

Ili kurahisisha utafutaji wako, tumekuwekea link moja ya moja kwa moja. Ukibonyeza link hii, utapelekwa kwenye orodha ya shule zote za mkoa wa Geita ambapo utachagua jina la shule yako na kuona matokeo ya wanafunzi wote.

Bonyeza hapa chini kuona matokeo yako:

BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA GEITA 2025/2026

Jinsi ya Kuangalia Matokeo Geita kwa Kutumia Simu (SMS)

Ikiwa unatumia simu ya kawaida (tochi) au huna bando, tumia njia hii kupata matokeo ya mkoa wa Geita:

  1. Piga *152*00#

  2. Chagua 8 (Elimu)

  3. Chagua 2 (NECTA)

  4. Chagua 1 (Matokeo)

  5. Chagua CSEE

  6. Ingiza namba yako ya mtihani (Mfano: S4500-0001-2025)

Kuhusu Matokeo ya Kidato Cha Nne Geita 2025

Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itafanya uchambuzi wa shule bora mkoani Geita na kuangalia ufaulu wa jumla wa mkoa. Hakikisha unahifadhi ukurasa huu ili uwe wa kwanza kupata updates pindi shule kumi bora za Geita zitakapotangazwa.

Tunawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa mkoa wa Geita!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *