Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Kagera 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Kagera 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuandalia ukurasa huu maalumu ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari zilizopo mkoani Kagera kwa urahisi pindi yanapotangazwa na NECTA.
Mkoa wa Kagera umekuwa na historia ya kufanya vizuri katika mitihani ya kitaifa. Mwaka huu, maelfu ya wanafunzi kutoka Bukoba, Muleba, Karagwe, Biharamulo, Ngara, Kyerwa, na Missenyi wanasubiri kuona matokeo yao ya CSEE 2025/2026 ili kuanza safari mpya ya kimasomo.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Kagera (Direct Link)
Ili usipoteze muda kutafuta wilaya moja moja, tumekuwekea link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza, utapelekwa kwenye orodha rasmi ya shule zote za mkoa wa Kagera na utaweza kuchagua jina la shule yako.
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA KAGERA 2025/2026
Jinsi ya Kuangalia Matokeo Kagera kwa Simu (SMS)
Ikiwa huna bando la kutosha au internet inasumbua, unaweza kutumia mfumo wa SMS kupata matokeo yako ya mkoa wa Kagera haraka:
-
Piga *152*00#
-
Chagua namba 8 (Elimu)
-
Chagua namba 2 (NECTA)
-
Chagua namba 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba ya mtihani (Mfano: S0101-0001-2025)
Shule Bora na Uchambuzi wa Mkoa wa Kagera
Baada ya matokeo kutolewa rasmi, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule zilizofanya vizuri zaidi mkoani Kagera na wanafunzi walioingia kwenye kumi bora kitaifa kutokea mkoani hapa.
Kaa karibu na ukurasa huu kwa ku-refresh mara kwa mara ili kupata taarifa mpya kadiri zinavyotufikia.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Kagera!
