Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Kilimanjaro 2025/2026

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Kilimanjaro 2025/2026

Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Kilimanjaro 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekusogezea link rasmi ya NECTA ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Kilimanjaro kwa haraka na urahisi zaidi.

Mkoa wa Kilimanjaro, ukiwa na wilaya za Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Hai, Siha, Rombo, Mwanga, na Same, unajulikana kwa kuwa na shule nyingi kongwe na binafsi zinazoongoza kitaifa. Mwaka huu, matokeo ya CSEE 2025 yanatarajiwa kuendeleza rekodi ya ufaulu wa hali ya juu.

Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Kilimanjaro (Direct Link)

Ili kurahisisha kazi kwa wanafunzi, wazazi, na walezi, tumeweka link moja ya moja kwa moja. Ukibonyeza hapa chini, utapelekwa kwenye orodha ya shule zote zilizopo mkoani Kilimanjaro ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo ya kila mwanafunzi.

Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:

BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA KILIMANJARO 2025/2026

Njia ya SMS Kupata Matokeo Kilimanjaro

Kwa wale waliopo maeneo yenye changamoto ya mtandao, unaweza kutumia simu yako ya mkononi kupata matokeo ya mkoa wa Kilimanjaro haraka:

  1. Piga *152*00#

  2. Chagua 8 (Elimu)

  3. Chagua 2 (NECTA)

  4. Chagua 1 (Matokeo)

  5. Chagua CSEE

  6. Ingiza namba yako ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)

Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Kilimanjaro

Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Kilimanjaro na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi. Kilimanjaro imekuwa ikichuana vikali na mikoa kama Pwani na Dar es Salaam, hivyo kaa tayari kuona nani ameongoza mwaka huu.

Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Kilimanjaro!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *