Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Lindi 2025/2026

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Lindi Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Lindi

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Lindi 2025/2026

Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Lindi 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuandalia ukurasa huu maalumu ili uweze kupata ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Lindi kwa urahisi pindi yanapotangazwa na NECTA.

Mkoa wa Lindi una jumla ya wilaya sita (6) ambazo ni Lindi Mjini, Lindi Vijijini, Kilwa, Liwale, Nachingwea, na Ruangwa. Mwaka huu, maelfu ya wanafunzi kutoka mkoani hapa wanasubiri kuona matokeo yao ya CSEE 2025 ili kuanza safari mpya ya kimasomo kuelekea kidato cha tano na vyuo.

Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Lindi (Direct Link)

Ili usihangaike kutafuta wilaya moja moja, tumekuwekea link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza link hii, utapelekwa moja kwa moja kwenye orodha ya shule zote zilizopo mkoani Lindi na utaweza kuchagua jina la shule yako kwa urahisi.

Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:

BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA LINDI 2025/2026

Jinsi ya Kuangalia Matokeo Lindi kwa SMS

Ikiwa internet inasumbua au huna bando, unaweza kutumia simu yako kupata matokeo ya mkoa wa Lindi kwa kufuata hatua hizi:

  1. Piga *152*00#

  2. Chagua namba 8 (Elimu)

  3. Chagua namba 2 (NECTA)

  4. Chagua namba 1 (Matokeo)

  5. Chagua CSEE

  6. Ingiza namba ya mtihani (Mfano: S0101-0001-2025)

Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Lindi

Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule zilizofanya vizuri zaidi mkoani Lindi (Top 10 Schools in Lindi) na takwimu za ufaulu kwa wilaya zote kuanzia Kilwa mpaka Ruangwa.

Kaa karibu na ukurasa huu na u-refresh mara kwa mara ili kupata taarifa mpya kadiri zinavyotufikia kutoka NECTA.

Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Lindi!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *