Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Mbeya 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Mbeya 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuwekea link rasmi ya NECTA ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Mbeya kwa haraka na urahisi zaidi pindi yanapotangazwa.
Mkoa wa Mbeya (Green City) unajumuisha wilaya za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Chunya, Mbarali, Rungwe, Kyela, na Busokelo. Mwaka huu, maelfu ya wanafunzi wanasubiri kuona matokeo yao ya CSEE 2025/2026 ili kuanza safari mpya ya kimasomo kuelekea kidato cha tano na vyuo vya ufundi.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Mbeya (Direct Link)
Ili usipoteze muda kutafuta wilaya moja moja, tumekuwekea link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza link hii, utapelekwa kwenye orodha kamili ya shule zote zilizopo mkoani Mbeya ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo.
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA MBEYA 2025/2026
Jinsi ya Kuangalia Matokeo Mbeya kwa SMS
Ikiwa upo maeneo ambayo internet inasumbua, unaweza kutumia simu yako ya mkononi kupata matokeo ya mkoa wa Mbeya haraka:
-
Piga *152*00#
-
Chagua namba 8 (Elimu)
-
Chagua namba 2 (NECTA)
-
Chagua namba 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba ya mtihani (Mfano: S0101-0001-2025)
Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Mbeya
Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule zilizofanya vizuri zaidi mkoani Mbeya (Top 10 Schools in Mbeya) na uchambuzi wa ufaulu kwa wilaya zote kuanzia Rungwe mpaka Chunya.
Kaa karibu na ukurasa huu na u-refresh mara kwa mara ili kupata taarifa mpya kadiri zinavyotufikia kutoka NECTA.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Mbeya!
