Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Morogoro 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Morogoro 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekusogezea link rasmi ya NECTA ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Morogoro kwa haraka na urahisi zaidi mara tu yanapotangazwa.
Mkoa wa Morogoro unajumuisha wilaya za Morogoro Mjini, Morogoro Vijijini, Kilosa, Ifakara, Malinyi, Ulanga, Gairo, na Mvomero. Mwaka huu, maelfu ya wanafunzi wanasubiri kuona matokeo yao ya CSEE 2025/2026 ili kujua hatma yao ya kimasomo.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Morogoro (Direct Link)
Ili kurahisisha kazi kwa wasomaji wetu, tumeweka link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza hapa, utapelekwa kwenye orodha kamili ya shule zote zilizopo mkoani Morogoro ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo ya kila mwanafunzi.
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA MOROGORO 2025/2026
Njia ya SMS Kupata Matokeo Morogoro
Ikiwa internet inasumbua kutokana na wingi wa watumiaji, unaweza kutumia simu yako ya mkononi kupata matokeo ya mkoa wa Morogoro haraka:
-
Piga *152*00#
-
Chagua 8 (Elimu)
-
Chagua 2 (NECTA)
-
Chagua 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba yako ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)
Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Morogoro
Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Morogoro na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi. Mkoa huu umekuwa ukifanya vizuri sana, hivyo kaa tayari kuona msimamo wa ufaulu kwa mwaka huu.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Morogoro!
