Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Songwe 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Songwe 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuwekea link rasmi ya NECTA ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Songwe kwa haraka na urahisi zaidi mara tu yanapotangazwa leo tarehe 31 Januari 2026.
Mkoa wa Songwe unajumuisha wilaya za Mbozi, Momba, Ileje, Songwe, na Mji wa Tunduma. Mwaka huu, maelfu ya wanafunzi wanasubiri kuona matokeo yao ya CSEE 2025 ili kujua hatma yao ya kujiunga na kidato cha tano au vyuo mbalimbali nchini.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Songwe (Direct Link)
Ili kukurahisishia kazi, tumeweka link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza hapa, utapelekwa kwenye orodha kamili ya shule zote zilizopo mkoani Songwe ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo ya kila mwanafunzi bila usumbufu.
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA SONGWE 2025/2026
Njia ya SMS Kupata Matokeo Songwe
Ikiwa internet inasumbua kutokana na wingi wa watu wanaotafuta matokeo kwa wakati mmoja, tumia simu yako ya mkononi kupata matokeo ya mkoa wa Songwe haraka:
-
Piga *152*00#
-
Chagua 8 (Elimu)
-
Chagua 2 (NECTA)
-
Chagua 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba yako ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)
Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Songwe
Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Songwe na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi. Mkoa wa Songwe umekuwa ukionyesha ushindani mkubwa katika kanda ya nyanda za juu kusini, hivyo kaa tayari kuona nani ameongoza mwaka huu.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Songwe!
