Skip to content

JINSI YA TZ

Tovuti hii inakuletea maarifa na mwongozo wa kina kuhusu masuala mbalimbali ya maisha.

  • Home
  • ELIMU
  • AJIRA
  • AFYA
  • MAHUSIANO
  • BIASHARA
  • TEKNOLOJIA
  • SHERIA
  • Toggle search form
  • Jinsi ya Kujisajili TaESA (Shirika la Huduma za Ajira Tanzania) AJIRA
  • Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mkoa wa Geita
    Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mkoa wa Geita 2025/2026 ELIMU
  • Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mkoa wa Lindi
    Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mkoa wa Lindi 2025/2026 ELIMU
  • Timu Zilizoshinda Klabu Bingwa Afrika MICHEZO
  • Sifa za Kujiunga na Chuo cha Archbishop Mihayo University College of Tabora (AMUCTA) ELIMU
  • Matokeo ya Kidato cha Sita Necta Results Tanzania 2025/2026 ELIMU
  • Barua ya Maombi ya Kazi JWTZ (Sample )
    Barua ya Maombi ya Kazi JWTZ (Sample ) AJIRA
  • Maisha na Kazi ya Humphrey Polepole Katika Taaluma, Siasa na Uwakilishi wa Kitaifa JIFUNZE
Walioitwa Kazini Kutoka Usaili wa Sekta ya Umma

Walioitwa Kazini Kutoka Usaili wa Sekta ya Umma – Tarehe 17 Aprili, 2025

Posted on April 17, 2025 By admin No Comments on Walioitwa Kazini Kutoka Usaili wa Sekta ya Umma – Tarehe 17 Aprili, 2025

TANGAZO: Walioitwa Kazini Kutoka Usaili wa Sekta ya Umma – Tarehe 17 Aprili, 2025

Dodoma, 17 Aprili 2025 — Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetoa tangazo rasmi la kuitwa kazini kwa waombaji kazi waliofaulu usaili uliofanyika kati ya tarehe 02 Septemba 2024 hadi 18 Februari 2025, pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata (Database) waliopangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kuibuka.

Kwa mujibu wa tangazo hilo, waombaji wote waliofaulu wanapaswa kuchukua barua zao za kupangiwa kituo cha kazi ndani ya siku saba kuanzia tarehe ya tangazo (yaani kuanzia leo), katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwenye majengo ya Dkt. Asha-Rose Migiro. Baada ya muda huo, barua ambazo hazitachukuliwa zitatumwa kwa wahusika kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, wahitimu wote wanatakiwa kuripoti kwa waajiri wao kwa muda uliobainishwa kwenye barua hizo, wakiwa na vyeti halisi vya masomo kwa ajili ya uhakiki kabla ya kupewa barua ya ajira rasmi. Kwa wale ambao majina yao hayapo kwenye tangazo hili, inathibitishwa kuwa hawakufanikiwa kupata nafasi kwa wakati huu — lakini wanahimizwa kuendelea kuomba nafasi pindi zitakapojitokeza.

MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua wanapaswa kuwa na mojawapo ya vitambulisho vifuatavyo kwa ajili ya utambuzi:

  • Kitambulisho cha Uraia (NIDA)

  • Hati ya Kusafiria

  • Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi

  • Kitambulisho cha Mpiga Kura

  • Leseni ya Udereva

Tangazo linajumuisha majina ya walioitwa kutoka halmashauri mbalimbali kama vile Wanging’ombe, Njombe, Tandahimba, Mbarali, Mbogwe, Pangani, Kishapu, Newala, pamoja na taasisi kama Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Kada zilizohusika ni pamoja na walimu wa masomo mbalimbali, maafisa afya, wauguzi, mafamasia, maafisa sheria, na wateknolojia wa maabara.

Kwa orodha kamili ya majina ya walioitwa kazini, tafadhali [bofya hapa kupakua PDF kamili] na uone kama jina lako limo kwenye orodha hiyo 👉  PDF

Jiunge na magroup yetu ya whatsapp kwa matangazo mengine ya Ajira- Whatsapp

Mapendekezo Mengine;

  • Jinsi ya Kujisajili TaESA (Shirika la Huduma za Ajira Tanzania)
  • Jinsi ya Kujisajili kwenye Ajira Portal Tanzania
  • Jinsi ya Kutuma Maombi ya Ajira katika Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
  • Nafasi za Kazi Kupitia Ajira Portal, Serikalini na Utumishi wa Umma 2025
  • Jinsi ya Kupata Kazi Mapema (kwa Watafuta Ajira)
  • Majina ya walioitwa kazini Sekta ya Afya 2025 TAMISEMI
  • Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 TAMISEMI
AJIRA Tags:Kishapu, Mbarali, Mbogwe, Newala, Njombe, Pangani, Tandahimba, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)., Wanging'ombe

Post navigation

Previous Post: Majina ya walioitwa kazini Sekta ya Afya 2025 TAMISEMI
Next Post: TANGAZO LA AJIRA: KUITWA KAZINI UTUMISHI APRILI, 2025

Related Posts

  • Jinsi ya Kutuma Maombi Jeshi la JWTZ
    Jinsi ya Kutuma Maombi Jeshi la JWTZ Application 2025 AJIRA
  • AFISA WA UUZAJI (3 Nafasi), DONGFANG STEEL GROUP LIMITED AJIRA
  • MENEJA WA MPANGO WA KUPUNGUZA MADHARA
    MENEJA WA MPANGO WA KUPUNGUZA MADHARA – MEDECINS DU MONDE (MdM) AJIRA
  • TANGAZO LA AJIRA: UNITRANS TANZANIA LIMITED
    TANGAZO LA AJIRA: UNITRANS TANZANIA LIMITED – APRILI 2025 AJIRA
  • Matokeo ya Usaili Halmashauri Mbalimbali 2025: Sekretarieti ya Ajira (PSRS) AJIRA
  • Jinsi ya Kuandaa Wasifu (CV) Bora AJIRA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KURASA MUHIMU

  • Andika Makala Nasi
  • Jinsi ya Kutumia JinsiyaTZ
  • Jiunge na Jarida Letu
  • Kategoria za Maudhui
  • Kuhusu Sisi
  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Vidakuzi
  • Shirikiana na JinsiyaTZ
  • Tangaza Nasi
  • Ushuhuda wa Wasomaji
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi 
  • Staili ya Kumkojolesha Mwanamke Haraka (18+)
  • Staili Tamu za Mapenzi (Raha za Mahaba) 
  • Link za Magroup ya Wanaotafuta Mume au Mke WhatsApp Tanzania 2025
  • Link za Magroup ya Wachumba WhatsApp Tanzania 2025
  • Link za Magroup ya Telegram ya Romance Tanzania 2025

  • Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ELIMU
  • Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) ELIMU
  • Dawa ya Kubana Uke kwa Haraka MAHUSIANO
  • Link za Magroup ya X WhatsApp Tanzania
    Link za Magroup ya X WhatsApp Tanzania 2025 (Bonyeza hapa) MAHUSIANO
  • Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Katoliki cha Mbeya (CUoM) ELIMU
  • Jinsi ya Kuangalia Bima ya Gari kwa Simu Tanzania
    Jinsi ya Kuangalia Bima ya Gari kwa Simu Tanzania (2025) ELIMU
  • Mfano wa Leseni ya Biashara Tanzania BIASHARA
  • MATOKEO Yanga vs KVZ FC 26 April 2025
    MATOKEO Yanga vs KVZ FC 26 April 2025 MICHEZO

KATEGORIA

  • AFYA
  • AJIRA
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • DINI
  • ELIMU
  • HUDUMA KWA WATEJA
  • JIFUNZE
  • MAHUSIANO
  • MAPISHI
  • MICHEZO
  • MITINDO
  • SAFARI
  • SHERIA
  • Uncategorized
  • UREMBO

ASILIMIA

Overall Rating
5.0

Rating

Copyright © 2025 JINSI YA TZ.

Powered by PressBook News WordPress theme