Posted inELIMU
Sifa za Kujiunga na Vyuo vya Kilimo na Mifugo
Sekta ya Kilimo na Mifugo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, ikiwa inatoa ajira kwa zaidi ya nusu ya Watanzania. Kutokana na uwekezaji mkubwa katika umwagiliaji, usindikaji, na…






