ZFF Yatangaza Kombe la Muungano 2025 Kuchezwa Uwanja wa Gombani, Pemba
ZFF Yatangaza Kombe la Muungano 2025 Kuchezwa Uwanja wa Gombani, Pemba Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) limetangaza rasmi kwamba mashindano ya Kombe la Muungano 2025 yatafanyika katika Uwanja wa Gombani, uliopo kisiwani Pemba, badala ya Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja. Uamuzi huu umetokana na maelekezo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika…
Read More “ZFF Yatangaza Kombe la Muungano 2025 Kuchezwa Uwanja wa Gombani, Pemba” »