Tottenham Hotspur Wamtaka Dean Huijsen Kama Mrithi wa Cristian Romero
Tottenham Hotspur Wamtaka Dean Huijsen Kama Mrithi wa Cristian Romero Klabu ya Tottenham Hotspur imeonyesha nia ya kumsajili beki chipukizi Dean Huijsen kutoka AFC Bournemouth katika dirisha lijalo la usajili. Huijsen, mwenye umri wa miaka 19, amekuwa miongoni mwa wachezaji wanaovutia zaidi katika Ligi Kuu ya England msimu huu, akicheza mechi 25 na kufunga mabao…
Read More “Tottenham Hotspur Wamtaka Dean Huijsen Kama Mrithi wa Cristian Romero” »