KIKOSI Cha Yanga vs KVZ FC 26 April 2025; Klabu ya Yanga SC itatangaza kikosi chake kuelekea mchezo muhimu wa Robo Fainali ya Kombe la Muungano 2025 dhidi ya KVZ FC utakaopigwa Uwanja wa Gombani, Zanzibar, kuanzia saa 1:15 usiku. Kikosi rasmi kinachotangazwa na klabu (matchday squad) kawaida hutolewa saa chache kabla ya mechi
Taarifa ya Mechi
-
Timu: KVZ FC vs Yanga SC
-
Tarehe: 26 Aprili 2025
-
Muda: Saa 1:15 Usiku
-
Uwanja: Gombani Stadium, Zanzibar
-
Mashindano: Kombe la Muungano – Robo Fainali
Kwa ajili ya taarifa zaidi endelea kufatilia ukurasa wetu..
Makala zingine soma;