Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili INEC 2025
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi katika ngazi za Wilaya na Majimbo, imetoa orodha za waombaji waliofaulu hatua ya awali na kuitwa kwenye usaili. Orodha hizi ni kwa ajili ya kuwapata watumishi wa muda watakaohusika na majukumu mbalimbali ya uchaguzi.
Waombaji wote waliotuma maombi kwa nafasi za kazi za muda wanashauriwa kupitia orodha zilizotolewa na Halmashauri husika ili kuhakikisha hawapitwi na taarifa muhimu. Usaili utafanyika katika maeneo na tarehe zilizotangazwa na kila Halmashauri.
Jedwali la Orodha za Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili
Hapa chini ni jedwali linaloonesha baadhi ya Halmashauri na Majimbo ambayo yametoa matangazo ya kuitwa kwenye usaili. Tafadhali bofya kwenye kiungo husika (kitakachowekwa) ili kupakua orodha kamili.
Na. | Jina la Halmashauri/Jimbo | Kiungo cha Kupakua Orodha (PDF) |
1. | Halmashauri ya Rombo | |
2. | Manispaa ya Bukoba Mjini | |
3. | Manispaa ya Newala Mjini | |
4. | Halmashauri ya Lindi Mjini | |
5. | Jimbo la Dodoma Mjini | |
6. | Wilaya ya Kisarawe | |
7. | Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo | |
8. | Jimbo la Lulindi na Ndanda | |
9. | Jimbo la Mbeya Vijijini | |
10. | Jimbo la Mtumba | |
11. | Halmashauri ya Mbulu | |
12. | Musoma Vijijini | |
13. | Wilaya ya Nkasi | |
14. | Wilaya ya Korogwe | |
15. | Pangani | |
16. | Kilosa | |
17. | Jimbo la Hai | |
18. | Jimbo la Kasulu Vijijini | |
19. | Mtwara Mjini | |
20. | Tabora Mjini | |
21. | Mkuranga | |
22. | Buhigwe | |
23. | Kibaha Vijijini | |
24. | Kibiti | |
25. | Nanyamba | |
26. | Same Magharibi | |
27. | Lushoto | |
28. | Gairo | |
29. | Babati | |
30. | Mafia |
Mambo Muhimu ya Kuzingatia
Wote walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
- Vyeti Halisi: Fika na vyeti vyako vyote halisi vya elimu na taaluma.
- Kitambulisho: Ni lazima uwe na kitambulisho halali (Cha Taifa, cha Mpiga Kura, Leseni ya Udereva, n.k.).
- Muda: Hakikisha unafika kwenye eneo la usaili kwa wakati uliopangwa.
Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti rasmi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) au tovuti za Halmashauri husika.