Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Dar es Salaam 2025/2026

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Dar es Salaam Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Dar es Salaam

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Dar es Salaam 2025/2026

Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Dar es Salaam 2025/2026? jinsiyatz.com tumekuwekea orodha kamili ya matokeo ya shule zote zilizopo ndani ya mkoa wa Dar es Salaam mara tu yanapotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).

Dar es Salaam ni kitovu cha elimu nchini ikiwa na zaidi ya shule za sekondari 350. Katika matokeo ya CSEE 2025, macho ya wengi yapo kwenye shule kongwe na shule binafsi ambazo zimekuwa zikichuana vikali kitaifa.

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Form Four Dar es Salaam

Ili kuangalia ufaulu wa shule yako ndani ya jiji la Dar es Salaam, tumia link hapa chini:

1. Matokeo Kidato Cha Nne Wilaya ya Ilala

>>Angalia Matokeo Hapa

Njia Mbadala ya Kuona Matokeo (SMS)

Wanafunzi wa Dar es Salaam mnaweza pia kutumia simu zenu za mkononi kupata matokeo ya CSEE 2025/2026 haraka:

  1. Piga *152*00https://www.google.com/search?q=%23

  2. Chagua 8 (Elimu)

  3. Chagua 2 (NECTA)

  4. Chagua 1 (Matokeo)

  5. Chagua CSEE na uandike namba yako ya mtihani.

Nini cha Kufanya Baada ya Matokeo?

Kama mdau wa elimu kupitia jinsiyatz.com, tunakushauri kuanza kufuatilia sifa za kujiunga na kidato cha tano (Advance) au vyuo vya ufundi na afya mara tu utakapopata matokeo yako. Hakikisha unapakua (Download) matokeo yako na kuyahifadhi vizuri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *