Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Kigoma 2025/2026

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Kigoma Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Kigoma

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Kigoma 2025/2026

Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Kigoma 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuandalia ukurasa huu maalumu ili uweze kupata ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Kigoma kwa urahisi pindi yanapotangazwa na NECTA.

Mkoa wa Kigoma una idadi kubwa ya watahiniwa kutoka wilaya za Kigoma Mjini, Kigoma Vijijini, Kasulu, Kibondo, Kakonko, Uvinza, na Buhigwe. Mwaka huu, matokeo ya CSEE 2025/2026 yanatarajiwa kuonesha mabadiliko makubwa katika kiwango cha ufaulu mkoani hapa.

Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Kigoma (Direct Link)

Ili usipoteze muda kutafuta wilaya moja moja, tumekuwekea link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza, utapelekwa moja kwa moja kwenye orodha ya shule zote za mkoa wa Kigoma na utaweza kuchagua jina la shule yako kuona matokeo.

Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:

BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA KIGOMA 2025/2026

Jinsi ya Kuangalia Matokeo Kigoma kwa SMS

Ikiwa upo maeneo ambayo mtandao wa internet ni hafifu, unaweza kutumia njia ya SMS kupata matokeo yako ya mkoa wa Kigoma haraka:

  1. Piga *152*00#

  2. Chagua namba 8 (Elimu)

  3. Chagua namba 2 (NECTA)

  4. Chagua namba 1 (Matokeo)

  5. Chagua CSEE

  6. Ingiza namba ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)

Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Kigoma

Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule zilizofanya vizuri zaidi mkoani Kigoma (Top 10 Schools in Kigoma) na uchambuzi wa ufaulu wa masomo ya sayansi na sanaa.

Hakikisha unahifadhi (Bookmark) ukurasa huu ili uwe wa kwanza kupata taarifa za kujiunga na kidato cha tano (Selection) na vyuo pindi zitakapotoka.

Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Kigoma!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *