Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Mara 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Mara 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuwekea link rasmi na ya haraka ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Mara mara tu yanapotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
Mkoa wa Mara, unaojumuisha wilaya za Musoma, Tarime, Bunda, Rorya, Butiama, na Serengeti, una idadi kubwa ya watahiniwa wa CSEE mwaka huu. Hapa ndipo mahali sahihi pa kupata updates zote za matokeo kwa shule za serikali na binafsi mkoani Mara.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Mara (Direct Link)
Ili kurahisisha kazi na kuepuka usumbufu, tumekuwekea link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza link hii, utapelekwa kwenye orodha kamili ya shule zote zilizopo mkoani Mara ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo ya kila mwanafunzi.
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA MARA 2025/2026
Jinsi ya Kuangalia Matokeo Mara kwa SMS
Ikiwa upo maeneo ambayo internet inasumbua, unaweza kutumia simu yako ya mkononi kupata matokeo ya mkoa wa Mara haraka:
-
Piga *152*00#
-
Chagua namba 8 (Elimu)
-
Chagua namba 2 (NECTA)
-
Chagua namba 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)
Uchambuzi wa Matokeo Mkoa wa Mara 2025
Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Mara na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi kitaifa kutokea mkoani hapa. Mara imekuwa ikipiga hatua kubwa kielimu, hivyo kaa tayari kuona matokeo ya mwaka huu.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Mara!
