Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Mtwara 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Mtwara 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuwekea link rasmi ya NECTA ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Mtwara kwa haraka na urahisi zaidi mara tu yanapotangazwa leo tarehe 31 Januari 2026.
Mkoa wa Mtwara unajumuisha wilaya za Mtwara Mjini, Mtwara Vijijini, Masasi, Nanyumbu, Newala, na Tandahimba. Mwaka huu, maelfu ya wanafunzi wanasubiri kuona matokeo yao ya CSEE ili kuendelea na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya ufundi.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Mtwara (Direct Link)
Ili kurahisisha kazi kwa wasomaji wetu, tumeweka link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza hapa, utapelekwa kwenye orodha kamili ya shule zote zilizopo mkoani Mtwara ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo ya kila mwanafunzi.
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA MTWARA 2025/2026
Njia ya SMS Kupata Matokeo Mtwara
Ikiwa internet inasumbua kutokana na wingi wa watu wanaotafuta matokeo kwa wakati mmoja, tumia simu yako kupata matokeo ya mkoa wa Mtwara haraka:
-
Piga *152*00#
-
Chagua 8 (Elimu)
-
Chagua 2 (NECTA)
-
Chagua 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba yako ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)
Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Mtwara
Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Mtwara na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi. Mkoa wa Mtwara umekuwa ukionyesha maendeleo makubwa kielimu, hivyo kaa tayari kuona nani ameongoza mwaka huu.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Mtwara!
