Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Njombe 2025/2026

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Njombe Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Njombe

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Njombe 2025/2026

Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Njombe 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuwekea link rasmi ya NECTA ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Njombe kwa haraka na urahisi zaidi mara tu yanapotangazwa leo tarehe 31 Januari 2026.

Mkoa wa Njombe unajumuisha wilaya za Njombe Mjini, Njombe Vijijini, Ludewa, Makete, Wanging’ombe, na Mji wa Makambako. Mwaka huu, macho ya wengi nchini yapo Njombe kuona kama mkoa huu utaendelea kushikilia nafasi za juu kitaifa katika matokeo ya CSEE 2025/2026.

Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Njombe (Direct Link)

Ili kurahisisha kazi kwa wanafunzi na wazazi, tumeweka link moja ya moja kwa moja hapa chini. Ukibonyeza hapa, utapelekwa kwenye orodha kamili ya shule zote zilizopo mkoani Njombe ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo ya kila mwanafunzi.

Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:

BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA NJOMBE 2025/2026

Njia ya SMS Kupata Matokeo Njombe

Ikiwa internet inasumbua kutokana na wingi wa watu wanaotafuta matokeo kwa wakati mmoja, tumia simu yako kupata matokeo ya mkoa wa Njombe haraka:

  1. Piga *152*00#

  2. Chagua 8 (Elimu)

  3. Chagua 2 (NECTA)

  4. Chagua 1 (Matokeo)

  5. Chagua CSEE

  6. Ingiza namba yako ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)

Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Njombe

Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Njombe na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi. Njombe imekuwa kielelezo cha ufaulu, hivyo kaa tayari kuona nani ameibuka kidedea mwaka huu.

Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Njombe!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *