Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Pwani 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Pwani 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuandalia link rasmi na ya haraka ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Pwani mara tu yanapotangazwa na NECTA leo tarehe 31 Januari 2026.
Mkoa wa Pwani unajumuisha wilaya za Kibaha, Bagamoyo, Chalinze, Kisarawe, Mkuranga, Rufiji, Kibiti, na Mafia. Huu ni mkoa wenye shule zenye ushindani mkubwa kitaifa, na mwaka huu matokeo ya CSEE 2025 yanatarajiwa kuonesha ufaulu wa hali ya juu.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Pwani (Direct Link)
Ili kukurahisishia kazi, tumeweka link moja ya moja kwa moja. Ukibonyeza hapa chini, utapelekwa kwenye orodha ya shule zote zilizopo mkoani Pwani ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo ya kila mwanafunzi kwa urahisi.
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA PWANI 2025/2026
Njia ya SMS Kupata Matokeo Pwani
Ikiwa internet inasumbua kutokana na wingi wa watu wanaotafuta matokeo kwa wakati mmoja, tumia simu yako ya mkononi kupata matokeo ya mkoa wa Pwani haraka:
-
Piga *152*00#
-
Chagua 8 (Elimu)
-
Chagua 2 (NECTA)
-
Chagua 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba yako ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)
Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Pwani
Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Pwani na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi. Mkoa wa Pwani umekuwa kielelezo cha maboresho ya elimu, hivyo kaa tayari kuona nani ameshika namba moja mkoani hapa mwaka huu.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Pwani!
