Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Rukwa 2025/2026
Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Rukwa 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuwekea link rasmi ya NECTA ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Rukwa kwa haraka na urahisi zaidi mara tu yanapotangazwa leo tarehe 31 Januari 2026.
Mkoa wa Rukwa unajumuisha wilaya za Sumbawanga Mjini, Sumbawanga Vijijini, Kalambo, na Nkasi. Mwaka huu, maelfu ya wanafunzi wanasubiri kuona matokeo yao ya CSEE 2025 ili kuanza safari mpya ya kimasomo kuelekea kidato cha tano na vyuo mbalimbali nchini Tanzania.
Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Rukwa (Direct Link)
Ili kurahisisha kazi kwa wasomaji wetu, hatuweki maelezo mengi ya wilaya moja moja. Tumekupa link moja ya moja kwa moja hapa chini ambayo itakupeleka kwenye orodha kamili ya shule zote zilizopo mkoani Rukwa ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo.
Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:
BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA RUKWA 2025/2026
Njia ya SMS Kupata Matokeo Rukwa
Ikiwa internet inasumbua kutokana na wingi wa watu wanaotafuta matokeo kwa wakati mmoja kwenye mkoa wa Rukwa, tumia simu yako kupata matokeo haraka:
-
Piga *152*00#
-
Chagua 8 (Elimu)
-
Chagua 2 (NECTA)
-
Chagua 1 (Matokeo)
-
Chagua CSEE
-
Ingiza namba yako ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)
Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Rukwa
Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Rukwa na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi. Mkoa wa Rukwa umekuwa ukionyesha maendeleo makubwa, hivyo kaa tayari kuona nani ameongoza mwaka huu.
Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Rukwa!
