Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Simiyu 2025/2026

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Simiyu Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Simiyu

Matokeo ya Kidato Cha Nne Mkoa wa Simiyu 2025/2026

Je, unatafuta Matokeo ya Kidato Cha Nne mkoa wa Simiyu 2025/2026? Tovuti ya jinsiyatz.com imekuwekea link rasmi ya NECTA ili uweze kuona ufaulu wa shule zote za sekondari mkoani Simiyu kwa haraka na urahisi zaidi mara tu yanapotangazwa leo tarehe 31 Januari 2026.

Mkoa wa Simiyu unajumuisha wilaya za Bariadi, Maswa, Meatu, Itilima, na Busega. Mwaka huu, maelfu ya wanafunzi wanasubiri kuona matokeo yao ya CSEE 2025 ili kuanza safari mpya ya kimasomo kuelekea kidato cha tano na vyuo mbalimbali nchini Tanzania.

Angalia Matokeo ya Kidato Cha Nne Simiyu (Direct Link)

Ili kurahisisha kazi kwa wasomaji wetu, hatuweki maelezo mengi ya wilaya moja moja. Tumekupa link moja ya moja kwa moja hapa chini ambayo itakupeleka kwenye orodha kamili ya shule zote zilizopo mkoani Simiyu ambapo utachagua shule yako na kuona matokeo.

Bonyeza kiungo hapa chini kuona matokeo:

BONYEZA HAPA KUANGALIA MATOKEO YA MKOA WA SIMIYU 2025/2026

Njia ya SMS Kupata Matokeo Simiyu

Ikiwa internet inasumbua kutokana na wingi wa watu wanaotafuta matokeo kwa wakati mmoja kwenye mkoa wa Simiyu, tumia simu yako kupata matokeo haraka:

  1. Piga *152*00#

  2. Chagua 8 (Elimu)

  3. Chagua 2 (NECTA)

  4. Chagua 1 (Matokeo)

  5. Chagua CSEE

  6. Ingiza namba yako ya mtihani na mwaka (Mfano: S0101-0001-2025)

Shule Bora na Uchambuzi Mkoa wa Simiyu

Baada ya matokeo kutangazwa, jinsiyatz.com itakuletea orodha ya shule kumi bora za mkoa wa Simiyu na wanafunzi waliofanya vizuri zaidi. Mkoa wa Simiyu umekuwa ukionyesha maendeleo makubwa kielimu kanda ya ziwa, hivyo kaa tayari kuona nani ameongoza mwaka huu.

Kila la heri kwa wanafunzi wote wa mkoa wa Simiyu!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *