Matokeo ya Kidato cha Sita (Form Six Results) 2025/2026 NECTA Tanzania, necta form six results, Form Six Results 2025/2026, ACSEE results 2025/2026
NECTA ni Nini?
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa mwaka 1973 kwa lengo la kusimamia, kuendesha, na kuratibu mitihani ya kitaifa nchini Tanzania. NECTA inahakikisha kwamba viwango vya elimu vinazingatiwa na kutoa matokeo ya mitihani kwa uwazi na haki.
Majukumu Makuu ya NECTA:
- Kuandaa na kusimamia mitihani ya taifa kwa ngazi zote za elimu ya msingi na sekondari (PSLE, CSEE, ACSEE).
- Kuchakata na kutangaza matokeo ya mitihani hiyo kwa wakati.
- Kutoa vyeti vya ufaulu kwa wanafunzi waliohitimu.
- Kuhifadhi kumbukumbu za mitihani na matokeo kwa matumizi ya baadae.
Lini Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Yanatoka?
Kwa kawaida, NECTA hutangaza matokeo ya Kidato cha Sita kati ya wiki mbili hadi sita baada ya kumalizika kwa mtihani. Mwaka 2025, mtihani huu ulifanyika kuanzia Mei hadi Juni, hivyo inatarajiwa kwamba matokeo yatatoka kati ya katikati ya Juni hadi mapema Julai 2025.
NECTA huwa hutoa taarifa rasmi kupitia:
- Tovuti yao: www.necta.go.tz
- Kurasa za mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook)
- Vyombo vya habari kama TBC, ITV,
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026
- Fungua tovuti ya NECTA:
Tembelea https://www.necta.go.tz - Chagua sehemu ya “Results”:
Bonyeza neno “Results” kisha chagua “ACSEE” (Advanced Certificate of Secondary Education Examination). - Chagua mwaka husika:
Bofya “2025” au kutegemeana na mwaka wa mtihani. - Tafuta jina la shule au mkoa wako:
Unaweza kuchagua shule yako au mkoa na kisha kutafuta jina lako. - Angalia alama zako:
Matokeo yanaonesha masomo yote pamoja na daraja ulilopata (Division).
Jedwali la Mikoa na Link za Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026
Zingatia: Linki zitaongezwa hapa pindi NECTA watakapoweka matokeo rasmi. Tafadhali tembelea ukurasa huu mara kwa mara kwa masasisho.
Na. | Mkoa | Kiungo cha Kuangalia Matokeo |
---|---|---|
1 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Arusha | Bonyeza hapa |
2 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Dar es Salaam | Bonyeza hapa |
3 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Dodoma | Bonyeza hapa |
4 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Geita | Bonyeza hapa |
5 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Iringa | Bonyeza hapa |
6 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Kagera | Bonyeza hapa |
7 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Katavi | Bonyeza hapa |
8 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Kigoma | Bonyeza hapa |
9 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Kilimanjaro | Bonyeza hapa |
10 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Lindi | Bonyeza hapa |
11 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Manyara | Bonyeza hapa |
12 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Mara | Bonyeza hapa |
13 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Mbeya | Bonyeza hapa |
14 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Morogoro | Bonyeza hapa |
15 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Mtwara | Bonyeza hapa |
16 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Mwanza | Bonyeza hapa |
17 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Njombe | Bonyeza hapa |
18 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Pwani | Bonyeza hapa |
19 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Rukwa | Bonyeza hapa |
20 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Ruvuma | Bonyeza hapa |
21 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Shinyanga | Bonyeza hapa |
22 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Simiyu | Bonyeza hapa |
23 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Singida | Bonyeza hapa |
24 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Songwe | Bonyeza hapa |
25 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Tabora | Bonyeza hapa |
26 | Matokeo ya Kidato cha Sita mkoa wa Tanga | Bonyeza hapa |
27 | Matokeo ya Kidato cha Sita Zanzibar (SMZ) | Bonyeza hapa |
Bonyeza hapa kuangalia matokeo ya jumla>> MATOKEO YA FORM SIX 2025
Tunakutakia kila la heri katika matokeo yako!
Mawasiliano ya NECTA:
- Tovuti: https://www.necta.go.tz
- Barua Pepe: info@necta.go.tz
- Simu: +255 22 2700493 / +255 22 2775966
- Anuani: Baraza la Mitihani la Taifa, S.L.P 2624, Dar es Salaam, Tanzania.
Chanzo Kikuu: www.necta.go.tz