Skip to content

JINSI YA TZ

Tovuti hii inakuletea maarifa na mwongozo wa kina kuhusu masuala mbalimbali ya maisha.

  • Home
  • ELIMU
  • AJIRA
  • AFYA
  • MAHUSIANO
  • BIASHARA
  • TEKNOLOJIA
  • SHERIA
  • Toggle search form
  • Jinsi ya Kupika Maandazi Laini
    Jinsi ya Kupika Maandazi Laini, Yenye Harufu Nzuri MAPISHI
  • Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ilula Nursing School ELIMU
  • Jinsi ya Kupata Mkopo kwa Riba Nafuu BIASHARA
  • NBC huduma kwa wateja contact number HUDUMA KWA WATEJA
  • Jinsi ya kuanzisha biashara ya useremala na utengenezaji wa samani BIASHARA
  • Jinsi ya Kuangalia Mapato ya Gari JIFUNZE
  • Jinsi ya Kupata Kazi Nje ya Nchi AJIRA
  • Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ELIMU

Nafasi za Kazi Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) (Nafasi 3,018)

Posted on October 17, 2025 By admin No Comments on Nafasi za Kazi Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) (Nafasi 3,018)

Nafasi za Kazi Mwalimu Daraja la IIIA (Nafasi 3,018), Nafasi za Kazi Teacher Grade IIIA: 3,018 positions, Ajira mpya za Teacher Grade IIIA

Katika jitihada za kuimarisha sekta ya elimu nchini, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, imetangaza nafasi 3,018 za Mwalimu Daraja la IIIA. Hii ni fursa adhimu kwa walimu wenye sifa kujiunga na utumishi wa umma na kuchangia katika kuwajenga viongozi wa baadaye wa taifa.

Majukumu ya Kazi Mwalimu Daraja la IIIA atawajibika na shughuli zifuatazo:

  • Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi.
  • Kutengeneza na kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia.
  • Kufundisha, kufanya tathmini na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya wanafunzi.
  • Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi shuleni na darasani.
  • Kusimamia malezi ya wanafunzi kiakili, kimwili, kiroho na kutoa ushauri nasaha.
  • Kusimamia utunzaji wa vifaa na mali za shule.
  • Kufundisha na kusimamia Elimu ya Watu Wazima.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule.

Sifa za Mwombaji

  • Mwombaji awe na Cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne.
  • Awe amefaulu mafunzo ya Ualimu ya miaka miwili (2) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambuliwa na Serikali na kutunukiwa Cheti cha Ualimu Daraja la A.

Ngazi ya Mshahara

  • TGTS-B
    Jinsi ya Kuomba na Masharti ya Jumla
  • Mwisho wa Maombi: Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni 29 Oktoba, 2025.
  • Mfumo wa Maombi: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Mfumo wa Kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) unaopatikana kwa anwani: https://portal.ajira.go.tz/. Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu huu hayatafikiriwa.
  • Viambatisho Muhimu: Waombaji wote wanapaswa kuambatanisha CV yenye taarifa za kutosha, nakala za vyeti vya taaluma na cheti cha kuzaliwa vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili.
  • Uraia na Umri: Waombaji wote lazima wawe Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45, isipokuwa kwa wale walioko tayari kazini serikalini.
  • Kumbuka: “Testmonials”, “Provisional Results”, na “Statement of results” HAVITAKUBALIWA.
AJIRA Tags:Mwalimu Daraja la IIIA, Teacher Grade IIIA

Post navigation

Previous Post: Nafasi za Kazi Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Nafasi 3,945)
Next Post: Nafasi za Kazi Dereva Daraja la II (Nafasi 427) Driver Grade II

Related Posts

  • JWTZ Yatangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi
    JWTZ Yatangaza Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 AJIRA
  • Nafasi za Kazi Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Nafasi 3,945) AJIRA
  • Tangazo la Nafasi za Kazi na Ajira Jeshi la Magereza
    Tangazo la Nafasi za Kazi na Ajira Jeshi la Magereza – Agosti 2025 AJIRA
  • Novena ya Kuomba Kazi
    Novena ya Kuomba Kazi AJIRA
  • Barua ya Maombi ya Kazi JWTZ (Sample )
    Barua ya Maombi ya Kazi JWTZ (Sample ) AJIRA
  • Ajira Portal login (Kuingia Kwenye Ajira Portal)
    Ajira Portal login (Kuingia Kwenye Ajira Portal) AJIRA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KURASA MUHIMU

  • Andika Makala Nasi
  • Jinsi ya Kutumia JinsiyaTZ
  • Jiunge na Jarida Letu
  • Kategoria za Maudhui
  • Kuhusu Sisi
  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
  • Sera ya Faragha
  • Sera ya Vidakuzi
  • Shirikiana na JinsiyaTZ
  • Tangaza Nasi
  • Ushuhuda wa Wasomaji
  • Vigezo na Masharti
  • Wasiliana Nasi 
  • Link za Magroup ya X WhatsApp Tanzania Girl (18+) 2025
  • Magroup Ya ngono (Link za Magroup ya Ngono)
  • Link za Magroup ya Malaya Connection Iringa WhatsApp 2025
  • Link za Magroup ya Malaya Connection Mbeya WhatsApp 2025
  • Link za Magroup ya Malaya Connection Dodoma WhatsApp 2025

  • Jinsi ya Kujisajili NeST ELIMU
  • Jinsi ya kuanzisha biashara ya kutengeneza juice za matunda BIASHARA
  • Kitunguu Saumu ni Dawa ya Fangasi Ukeni?
    Kitunguu Saumu ni Dawa ya Fangasi Ukeni? Uchunguzi wa Kina AFYA
  • Sms za kuchati na mpenzi wako usiku MAHUSIANO
  • BM Online Booking
    BM Online Booking (Kata Tiketi) SAFARI
  • TANESCO 24 Hours Number na WhatsApp: Laini Rasmi za Msaada wa Umeme Saa 24 Kila Siku JIFUNZE
  • Jinsi ya kuanzisha biashara ya kuandika scripts za filamu BIASHARA
  • Biashara ya Duka la Rejareja
    Leseni ya Biashara ya Duka la Rejareja, Utaratibu, Gharama na Faida BIASHARA

KATEGORIA

  • AFYA
  • AJIRA
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • DINI
  • ELIMU
  • HUDUMA KWA WATEJA
  • JIFUNZE
  • KILIMO
  • MAHUSIANO
  • MAPISHI
  • MICHEZO
  • MITINDO
  • SAFARI
  • SHERIA
  • SIASA
  • TEKNOLOJIA
  • UFUGAJI
  • Uncategorized
  • UREMBO

ASILIMIA

Overall Rating
5.0

Rating

Copyright © 2025 JINSI YA TZ.

Powered by PressBook News WordPress theme