Sifa za Kujiunga na Chuo cha Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education (KICoB)
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education (KICoB) Chuo cha Kizumbi Institute of Cooperative and Business Education (KICoB) ni moja ya taasisi mbili za Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (Moshi Co-operative University – MoCU), kilichopo katika Mji wa Shinyanga, Tanzania, takriban kilomita sita kutoka katikati ya jiji kando ya…