Vigezo Kamili Kozi za Afya Ngazi ya Diploma
Kozi za Diploma katika sekta ya afya hutoa njia ya haraka na ya uhakika ya kuingia kwenye soko la ajira, ikizalisha wataalamu wa kiufundi (technicians) ambao ni muhimu sana katika mfumo wa utoaji huduma za afya nchini. Kuelewa Vigezo vya Kujiunga na Kozi za Afya Ngazi ya Diploma ni hatua ya kwanza ya msingi kuelekea…
