Sifa ya Kujiunga na Chuo cha Afya Tandabui
Tandabui Institute of Health Sciences and Technology ni chuo binafsi kinachojulikana kwa kutoa mafunzo bora ya afya, kikiwa kimethibitishwa na Mamlaka za Serikali kama vile NACTVET. Kujiunga na Chuo cha Tandabui kunahakikisha unapata ujuzi wa hali ya juu unaohitajika sokoni. Ili kufikia malengo hayo, ni lazima mgombea atimize Sifa ya Kujiunga na Chuo cha Afya…