Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal (Rahisi sana)

Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal, Jinsi ya Kufungua Account Ajira Portal Ajira Portal ni jukwaa la mtandaoni lililoundwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambalo huratibu mchakato wa ajira kwa watumishi wa umma. Jukwaa hili hurahisisha upatikanaji wa nafasi za kazi za serikali na unawapa watahiniwa fursa ya kuomba kazi kwa njia ya…
Read More “Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal (Rahisi sana)” »