Bei ya Shaba kwa Kilo 2025
Bei ya Shaba kwa Kilo 2025; Shaba ni moja ya madini ya thamani yanayochimbwa na kuuzwa Tanzania, na kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa rasilimali muhimu kwa uchumi wa nchi. Mahitaji ya shaba yameongezeka duniani kutokana na matumizi yake katika teknolojia ya nishati mbadala na vifaa vya umeme. Makala hii inachunguza bei ya shaba kwa…