TANGAZO LA KUITWA KAZINI BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) – APRILI 2025
TANGAZO LA KUITWA KAZINI BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) – APRILI 2025 Tarehe ya Tangazo: 17 Aprili, 2025 Mahali Kazi: Makao Makuu ya Benki Kuu ya Tanzania (Dar es Salaam) Mwisho wa Uthibitisho: 23 Aprili, 2025 ORODHA KAMILI YA WALIOITWA KAZINI (PDF) Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imetangaza majina ya watumishi waliofanikiwa kwenye mchakato wa usaili wa Machi 2025. Pakua Orodha…
