Sifa za Kujiunga na Chuo cha Buhare Community Development Training Institute (CDTI)
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Buhare Community Development Training Institute Musoma Chuo cha Buhare Community Development Training Institute (CDTI) – Musoma ni taasisi ya serikali iliyoko Musoma, Mkoa wa Mara, Tanzania, karibu kilomita 5 kutoka katikati ya mji wa Musoma kando ya barabara ya Majita. Chuo hiki, kilichoanzishwa mwaka 1966 kwa msaada wa Swedish…
Read More “Sifa za Kujiunga na Chuo cha Buhare Community Development Training Institute (CDTI)” »