Sifa za Kujiunga na Chuo cha Mzumbe University, Mbeya Campus College (MU – Mbeya Campus College)
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Mzumbe University, Mbeya Campus College (MU – Mbeya Campus College) Chuo cha Mzumbe University – Mbeya Campus College (MU – Mbeya Campus College) ni chuo kishiriki cha Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichopo Forest Area, Mbeya City, Tanzania, karibu na Barabara ya Tanzania/Zambia (umbali wa takriban mita 500) na jirani…