Sifa za Kujiunga na Chuo cha Mzumbe University – Dar es Salaam Campus College (MU – DCC)
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Mzumbe University – Dar es Salaam Campus College (MU – DCC) Chuo cha Mzumbe University – Dar es Salaam Campus College (MU – DCC) ni chuo kishiriki cha Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichopo Upanga, Plot No. 941/2, Olympio Street, Dar es Salaam, Tanzania. Kilianzishwa mwaka 2006 kama sehemu ya…