Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS)
Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS) Chuo Kikuu cha Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS), kinachojulikana pia kama CUHAS-Bugando, ni chuo kikuu cha kibinafsi kilichopo Bugando Hill, ndani ya eneo la Bugando Medical Centre (BMC) huko Mwanza, Tanzania. Kilianzishwa mwaka 2003 kama chuo cha…