Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Kampala International University in Tanzania (KIUT) Na Kozi
Sifa za Kujiunga na Chuo Kikuu cha Kampala International University in Tanzania (KIUT) Chuo Kikuu cha Kampala International University in Tanzania (KIUT) ni chuo kikuu cha kibinafsi kilichopo Gongo la Mboto, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania. Kilianzishwa mwaka 2008 kama Chuo cha Dar es Salaam Constituent College (KIU-DCC) chini ya Kampala International University ya Uganda,…