Sifa za Kujiunga na Chuo cha St. Augustine University of Tanzania, Dar es Salaam Centre
Sifa za Kujiunga na Chuo cha St. Augustine University of Tanzania, Dar es Salaam Centre Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT), Dar es Salaam Centre, ni kituo cha Chuo Kikuu cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT), kilichopo Msimbazi Centre, Dar es Salaam, Tanzania. SAUT ni chuo kikuu cha Kikristo cha Kikatoliki kilichoanzishwa…