Jinsi ya Kulipa Deni la Traffic
Jinsi ya Kulipa Deni la Traffic; Deni la traffic (adhabu ya magari) ni moja ya changamoto zinazowakabili madereva nchini Tanzania. Ikiwa haujalipa deni lako la traffic au hujui jinsi ya kufanya hivyo, hakikisha umesoma mwongozo huu wa hatua kwa hatua ili kuepuka matatizo ya kisheria. Deni la Traffic ni Nini? Deni la traffic ni adhabu…