Jinsi ya kutengeneza HaloPesa Mastercard
Jinsi ya Kutengeneza na Kutumia Halopesa Mastercard – Mwongozo Rahisi Katika dunia ya kidijitali, kuwa na kadi ya malipo ni muhimu kwa ajili ya kufanya miamala ya mtandaoni, iwe ni kununua bidhaa, kulipia huduma, au kuunganisha kwenye majukwaa mbalimbali. Halopesa Mastercard inakupa fursa ya kutengeneza kadi ya mtandaoni (virtual card) kwa urahisi, bila hata ya…