Jayrutty Asema “Nitasajili Mchezaji Mmoja wa Simba Kila Mwaka”
Jayrutty: “Nitasajili Mchezaji Mmoja wa Simba Kila Mwaka” – Kauli Yenye Mizuka na UtataNa Ahazijoseph Kauli ya mfanyabiashara maarufu na shabiki kindakindaki wa Yanga SC, Jayrutty, kwamba “atasajili mchezaji mmoja kutoka Simba SC kila mwaka”, imezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii na katika vijiwe vya soka nchini. Hii si kauli ya kawaida – ni…
Read More “Jayrutty Asema “Nitasajili Mchezaji Mmoja wa Simba Kila Mwaka”” »