Jinsi ya Kuleft kwenye Group WhatsApp
Jinsi ya Kuleft kwenye Group WhatsApp Kuleft (kuondoka) kwenye group la WhatsApp ni hatua rahisi ambayo inaweza kufanyika kwa dakika chache tu, na sasa unaweza kufanya hivyo kimya kimya bila wanachama wote wa group kujua, isipokuwa admin pekee. Hatua za Kuleft Group WhatsApp Kwa Watumiaji wa Android Fungua WhatsApp kwenye simu yako. Tafuta group unalotaka kuleft kwenye…