Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mkoa wa Iringa 2025/2026
Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mkoa wa Iringa 2025/2026 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na TAMISEMI imetoa orodha rasmi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Kwa wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2024, na wamepangiwa kuendelea na elimu ya sekondari ya juu…
