KIKOSI Cha Yanga vs KVZ FC 26 April 2025
KIKOSI Cha Yanga vs KVZ FC 26 April 2025; Klabu ya Yanga SC itatangaza kikosi chake kuelekea mchezo muhimu wa Robo Fainali ya Kombe la Muungano 2025 dhidi ya KVZ FC utakaopigwa Uwanja wa Gombani, Zanzibar, kuanzia saa 1:15 usiku. Kikosi rasmi kinachotangazwa na klabu (matchday squad) kawaida hutolewa saa chache kabla ya mechi Taarifa…