Chuo cha Kilimo na Mifugo MWANZA

Mkoa wa Mwanza, ukiwa kitovu cha Kanda ya Ziwa, una mahitaji makubwa ya wataalamu katika sekta za Kilimo, Mifugo, na Uvuvi. Kujiunga na Chuo cha Kilimo na Mifugo Mwanza kunakupa…