Walioitwa Kazini Kutoka Usaili wa Sekta ya Umma – Tarehe 17 Aprili, 2025
TANGAZO: Walioitwa Kazini Kutoka Usaili wa Sekta ya Umma – Tarehe 17 Aprili, 2025 Dodoma, 17 Aprili 2025 — Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetoa tangazo rasmi la kuitwa kazini kwa waombaji kazi waliofaulu usaili uliofanyika kati ya tarehe 02 Septemba 2024 hadi 18 Februari 2025, pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata (Database)…
Read More “Walioitwa Kazini Kutoka Usaili wa Sekta ya Umma – Tarehe 17 Aprili, 2025” »