Yanga Yaingia Nusu Fainali ya Kombe la CRDB kwa Ushindi wa Kishindo wa 8-1 Dhidi ya Stand United
Yanga Yaingia Nusu Fainali ya Kombe la CRDB kwa Ushindi wa Kishindo wa 8-1 Dhidi ya Stand UnitedNa Ahazijoseph Katika onyesho la hali ya juu la kandanda na ubabe wa kiuchezaji, Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imejiweka kifua mbele kuelekea ubingwa wa Kombe la CRDB baada ya kuicharaza Stand United kwa mabao 8-1, katika…