Jinsi ya kujisajili kwenye TAUSI Portal
Jinsi ya kujisajili kwenye TAUSI Portal: Mfumo wa TAUSI Portal ni jukwaa la mtandaoni lililoanzishwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) linalowezesha wananchi na wafanyabiashara kupata huduma mbalimbali za serikali kwa urahisi, ikiwemo maombi ya leseni za biashara, vibali, na hata kununua viwanja vya serikali. Kujisajili kwenye TAUSI Portal…