Jinsi ya kuweka akiba (Uhuru wa Kifedha)
Jinsi ya kuweka akiba, Hatua kwa Hatua wa Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha Katika jamii yetu, neno “akiba” mara nyingi huhusishwa na kujinyima, uchoyo, au kitu kinachowezekana tu kwa matajiri. Huu ni mtazamo finyu unaotukwamisha. Kuweka akiba siyo tu kuhifadhi pesa; ni kitendo cha kimkakati cha kununua uhuru wako wa baadaye. Kila shilingi unayoweka…