Jinsi ya kupata token za luku Vodacom
Jinsi ya kupata token za luku Vodacom,Jinsi ya Kupata Token za Luku Kupitia M-Pesa (Kama SMS Imepotea) Kununua umeme wa Luku kwa kutumia M-Pesa ni njia rahisi na ya haraka inayotumiwa na Watanzania wengi. Unafanya muamala, na ndani ya sekunde chache, unapokea ujumbe mfupi (SMS) wenye namba 20 za token. Lakini vipi ikiwa ujumbe huo…