Madini ya Rubi Yanapatikana Wapi Tanzania?
Madini ya Rubi Yanapatikana Wapi Tanzania? Tanzania ni kati ya nchi chache barani Afrika zilizo barikiwa na hazina kubwa ya vito vya thamani. Mbali na Tanzanite, nchi hii pia ni maarufu kwa madini ya rubi, ambayo ni kati ya mawe yenye thamani kubwa zaidi duniani, yakitumika katika mapambo ya kifahari, pete, na vito vya kifamilia….