Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mkoa wa Mbeya 2025/2026
Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Mkoa wa Mbeya; Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Kwa wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2024 na kuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika mkoa wa Mbeya, sasa wanaweza kuangalia majina…
